DOWNLOAD NIMEACHWA BY YOUNG DEE - MP3, MP4 & LYRICS

Nimeachwa Lyrics

Usione niko bar ukaona nakula bata
Leo nina mazonge kibao nimeshadata
Leta pombe mezani weka bapa
Acha niwake hadi niwe nyaka nyaka

Ukiuliza nimeachwa, nimeachwa
Nimeachwa mwenzenu nimeachwa
Nimeachwa mwenzenu nimeachwa
Nimeachwa, nimeachwa

Mbaya zaidi kweli nilimpenda
Cheki navyokonda yeye ananenepa
Mbaya zaidi sijui nilichotenda
Hadi umeamua kwenda

Umeniacha na mawazo
Nimebaki na mawazo
Umeniacha na mawazo
Nimebaki na mawazo

Usione niko bar ukaona nakula bata
Leo nina mazonge kibao nimeshadata
Leta pombe mezani weka bapa
Acha niwake hadi niwe nyaka nyaka

Ukiuliza nimeachwa, nimeachwa
Nimeachwa mwenzenu nimeachwa
Nimeachwa mwenzenu nimeachwa
Nimeachwa, nimeachwa

Issue ilikuwa pesa nikatafuta pesa
Nikatafuta pesa, sa nimepata pesa kaniacha navesha
Kaniacha na presha, kafanya napesha
Ikiisha ongeza

Nimebaki na mawazo, nabaki naumia 
Nakunywa kila alcohol, siwezi vumilia
Nimebaki na mawazo, nabaki naumia 
Nakunywa kila alcohol

Usione niko bar ukaona nakula bata
Leo nina mazonge kibao nimeshadata
Leta pombe mezani weka bapa
Acha niwake hadi niwe nyaka nyaka

Ukiuliza nimeachwa, nimeachwa
Nimeachwa mwenzenu nimeachwa
Nimeachwa mwenzenu nimeachwa
Nimeachwa, nimeachwa

Nimeachwa, nimeachwa
Nimeachwa mwenzenu nimeachwa
Nimeachwa sijui kwanini nimeachwa
Nimeachwa, nimeachwa

Usione niko bar ukaona nakula bata
Leo nina mazonge kibao nimeshadata
Leta pombe mezani weka bapa
Acha niwake hadi niwe nyaka nyaka

Ukiuliza nimeachwa, nimeachwa
Nimeachwa mwenzenu nimeachwa
Nimeachwa mwenzenu nimeachwa
Nimeachwa, nimeachwa