DOWNLOAD THE WAITING IS OVER BY YOUNG KILLER - MP3, MP4 & LYRICS

Title The Waiting is Over
Artists Young Killer
Genres Rap
Country Tanzania

The Waiting is Over Lyrics

Eyoo ni kama kifo si rembi
Anytime natokea sio kwamba sikupendi
Ila sitaki mazoea
Nikikukumbusha tu kua mwanga kuna giza
So ukitaka vyote ving'ae hayo sio maisha

The waiting is over 
Wanangu wa mtaa walimiss Slogan
Mashuti fulani ya mbali kama Kelvin Yondani
Alafu kwa Air Jordan mwendo wa kutoa nikipokea
Hiyo usinitishie kutamba
Kwa hasira ndigu yangu utajinyea
Thank for come unaweza kwenda, leave me alone
Tajiri ubaki tajiri akijifanya masikini

Na huo ni ukweli wa moyoni utabaki kuwa siri
Masikini hubaki masikini akijifanya tajiri
NI akili kwenye kichwa nani? Anantisha na Mungu yupo
Nauli yenu inaishi hapa kote usifiki huko
Ni misukosuko part two vile bongo basi tu
Ila kwa sasa hakuna yeyote anayenishinda kurap

Eeh yoh makubwa madogo yana nafuu
Wanasound ka wana flu yaani wali ndizi
Where's does where's do
Ebu nipe pass ninyooshe miguu

---
---