DOWNLOAD NICHAPE BY Z ANTO - MP3, MP4 & LYRICS

Nichape Lyrics

Kwako mi kichaa 
Sioni wala sisikii
Na macho nafumba, hoi mi
Umenidhibiti

Kwako mi ni nukta
We ni mwisho wa reli
Penzi lako nikilikosa
Nitalia, nitalia

Wangu moyo
Dhaifu sana usije niua
Unapotingisha tingisha akili yangu
Unaweza nichengua

Wangu moyo
Dhaifu usije niua
Unapochezesha chezesha vitu zako zile
Utakuja nitengua beiby beiby

Panga pangua my love 
Wewe ndo bakora yangu
Nichape, nichape

Nikumbate my love 
Wewe ndo bakora yangu
Nichape, nichape

(Beiby beiby aaah)

Amini nakutaka 
Amini nakutaka
Popote nitakufuata
Popote nitakufuata

Kiuno chako original
Sio cha kudambua
Nipe nikupe mama
Twende wote pepo

Penda Z usipende doh
Vipeti peti wafunge midomo
Watie aibu wanaokutongoa
Wanafiki nafiki wafunge vilago

Wangu moyo
Dhaifu sana usije niua
Unapotingisha tingisha akili yangu
Unaweza nichengua

Wangu moyo
Dhaifu usije niua
Unapochezesha chezesha vitu zako zile
Utakuja nitengua beiby beiby

Panga pangua my love 
Wewe ndo bakora yangu
Nichape, nichape

Nikumbate my love 
Wewe ndo bakora yangu
Nichape, nichape

Penda Z usipende doh
Vipeti peti wafunge midomo
Watie aibu wanaokutongoa
Wanafiki nafiki wafunge vilago