DOWNLOAD SUMU BARIDI BY Z ANTO - MP3, MP4 & LYRICS

Title Sumu Baridi
Artists Z Anto
Genres Bongo Flava
Country Tanzania

Sumu Baridi Lyrics

Sikutamani uende mbali nami
Kwa jinsi ulivyokuzoea
Wandoko umechuya moyoni ndani
Unaniwinda bila ya kujua

Shoga zako walisema una roho mbaya
Nikawapuuza nikawaona wabaya
Wengine wakasema siri zangu unazimwaga
Nikawacheki kwa mathara

Unajifanya sumu baridi (Sumu baridi)
Niko pa mgongo unanikaidi
Nakwamini we unabadili
Unafake sio

Unajifanya sumu baridi (Sumu baridi)
Niko pa mgongo unanikaidi
Nakwamini we unabadili
Unafake sio

Una nyota nakupulizaga, ooh ooh
Ulijua utanimalizaga, oh ooh
Una nyota nakupulizaga, ooh ooh
Ulijua utanimalizaga, oh ooh

Nilijua penzi lako tiba
Lingeponya maradhi yangu
Kumbe pendo lako limekula mwiba
Limechoma moyo wangu

Umenifanya niwe na roho mbaya
Ila anayenipenda naona wale wale
Mapenzi yamenikaba pabaya oooh

Unajifanya sumu baridi (Sumu baridi)
Niko pa mgongo unanikaidi
Nakwamini we unabadili
Unafake sio

Unajifanya sumu baridi (Sumu baridi)
Niko pa mgongo unanikaidi
Nakwamini we unabadili
Unafake sio

Una nyota nakupulizaga, ooh ooh
Ulijua utanimalizaga, oh ooh
Una nyota nakupulizaga, ooh ooh
Ulijua utanimalizaga, oh ooh

Una nyota nakupulizaga, ooh ooh
Ulijua utanimalizaga, oh ooh
Una nyota nakupulizaga, ooh ooh
Ulijua utanimalizaga, oh ooh

Sumu baridi, sumu baridi, sumu baridi 
Sumu baridi, sumu baridi, sumu baridi 
Everybody
Sumu baridi, sumu baridi, sumu baridi