DOWNLOAD NAKUTUMA WIMBO BY ZABRON SINGERS - MP3, MP4 & LYRICS

Title Nakutuma Wimbo
Artists Zabron Singers
Genres Gospel
Country Tanzania

Nakutuma Wimbo Lyrics

Natamani nitoe shuhuda 
Kupitia wimbo nimtetee Mungu 
Matiafa wapate sikia 
Mazuri ya Mungu vile ni mwema kwetu

Sisi ni bure bila Mungu 
Tulivyo navyo ni vya Mungu
Kufanikiwa ni Mungu tu
Nitabaki na Mungu

Nadhani wamwelewa Mungu 
Si Mungu wa kushindwa 
Kwa wengi amefanya  kitu
Na sasa wanasifu

Asante kwa baraka za upendo wako 
Najifunza wabariki wapate na wengine 
Asante kwa baraka ya maisha yangu 
Najifunza wanipenda nishare na wengine

Nakutuma wimbo, uende kwa yule 
Ukambariki  (Nenda)
Makuu ya Mungu vile huinua 
Vile hubariki  (Nenda)
Nyumbani kazini uende na Mungu 
Usishindwe kitu (Nenda)

Ufike, hee hee hee 
Ufike, hee hee hee 
Ufike, hee hee hee

Wimbo sema na yule
Wewe rafiki wa wote 
Huna ubaguzi nenda wimbo 
Kwenye gari waambie, ofisini kazini  
Nyumbani popote wimbo nenda wimbo

Neno la  Bwana Mungu wetu
Likitamka juu ya kitu
Halitarudi bila kitu 
Lazima litimie

Umeomba kitu kwa Mungu
Huyu ndiye Mungu wa vitu
Kupata na kukosa vitu
Mwamuzi bado yeye

Asante kwa baraka za upendo wako 
Najifunza wabariki wapate na wengine 
Asante kwa baraka ya maisha yangu 
Najifunza wanipenda nishare na wengine

Nakutuma wimbo, uende kwa yule 
Ukambariki  (Nenda)
Makuu ya Mungu vile huinua 
Vile hubariki  (Nenda)
Nyumbani kazini uende na Mungu 
Usishindwe kitu (Nenda)

Wengine wakisikia wimbo wanapona 
Waambie mazuri ya Mungu wimbo wimbo
Wengine  tu wakisikia wimbo wanapona 
Waambie mazuri ya Mungu wimbo wimbo (Hee hee heee)

Nakutuma wimbo, uende kwa yule 
Ukambariki  (Nenda)
Makuu ya Mungu vile huinua 
Vile hubariki  (Nenda)
Nyumbani kazini uende na Mungu 
Usishindwe kitu (Nenda)

Nakutuma wimbo, uende kwa yule 
Ukambariki (Nenda)
Makuu ya Mungu vile huinua 
Vile hubariki (Nenda)
Nyumbani kazini uende na Mungu 
Usishindwe kitu (Nenda)